Mtunzi: Fr. Cronelius Mushumbusi Mukoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Cronelius Mushumbusi Mukoro
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 946 | Umetazamwa mara 3,130
Download Nota Download MidiItanifaa nini kukawia x2
Hata ningepewa miaka elfu nisingeweza mimi mwenywe kujitayarisha sawa sawa
Sababu hii nitafika kwake kwa matumaini na unyeyekevu
(Bwana wangu akiniona kwa mbali kwa mbali ataniletea mavazi yanayofanya tayari kuonekana mbele yake) x2
1. Yesu anasikitika na kuwalilia wanaojitenga wenyewe na karamu ya mapendo
(kwasababu hawatambui wema na huruma ya Mungu wake) x2
2. Anayekaribia komunyo bila kujuta dhambi anafanana na mtu aliyeweka jiwe karibu na kizingiti cha mlango wa moyo wake ili amtupie mgeni mgeni wake akitaka kufika kwake kumtazama