Ingia / Jisajili

Itika Bwana

Mtunzi: Baraka Thomas Mashibe
> Mfahamu Zaidi Baraka Thomas Mashibe
> Tazama Nyimbo nyingine za Baraka Thomas Mashibe

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Unknown Uploader

Umepakuliwa mara 20,681 | Umetazamwa mara 30,934

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Joseph Mbiti May 10, 2021
Kazi mufti kaka. Nakuvulia kofia

Frank milinga Mar 01, 2021
Imependeza sana

Ferdinand M. Moriasi Apr 16, 2020
Kazi safi sana mkuu. Nakuaminia

Msuha Richard Silvester Aug 28, 2019
Hongera Sana Baraka T. Mashine Lakini ikikupendeza tuwekee na Bwana ameitika, tukirimie, na nyinginezo

Fabian James Jul 27, 2019
Hongera Ndugu Baraka Thomas Mashibe kwa juhudi yako katika utunzi Wa nyimbo za kumtukuza Mungu muumba wetu, ikikupendeza tunaomba na wimbo Wa Bwana Ameitika uuweke humu

Neserian msungu Aug 19, 2018
Naipenda sana hii nyimbo mungu awabariki wanakwaya

Toa Maoni yako hapa