Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Huruma ya Mungu | Mwanzo
Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza
Umepakuliwa mara 297 | Umetazamwa mara 1,433
Download Nota Download MidiIWENI NA HURUMA(WATULIZENI MIOYO)
Iweni na Huruma kama Baba yenu wa mbinguni; Kusudi la upendo wa kiMungu litimizwe kwetu; (kweli) wasaidieni wote wasiojiweza; (wote) wagonjwa na walemavu; wazee pia wajane watulizeni mioyo; (wote) watoto wa mitaani; waliokosa malezi tuwaonee huruma.
Shairi.
1. Ondokeni nendeni kuwaona wote wenye shida; wala msiwe kama wale wasioamini kazi ya Mungu.