Ingia / Jisajili

IWENI NA HURUMA (WATULIZENI MIOYO)

Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Huruma ya Mungu

Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza

Umepakuliwa mara 268 | Umetazamwa mara 1,314

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

IWENI NA HURUMA(WATULIZENI MIOYO)

Iweni na Huruma kama Baba yenu wa mbinguni; Kusudi la upendo wa kiMungu litimizwe kwetu; (kweli) wasaidieni wote wasiojiweza; (wote) wagonjwa na walemavu; wazee pia wajane watulizeni mioyo; (wote) watoto wa mitaani; waliokosa malezi tuwaonee huruma.

Shairi.

1. Ondokeni nendeni kuwaona wote wenye shida; wala msiwe kama wale wasioamini kazi ya Mungu.Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa