Ingia / Jisajili

Janga la Corona

Mtunzi: Collins Ochieng
> Mfahamu Zaidi Collins Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Collins Ochieng

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Huruma ya Mungu | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Collins Ochieng

Umepakuliwa mara 587 | Umetazamwa mara 1,776

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
JANGA LA CORONA 1. Ee Mungu Baba mwenyezi sisi twakulilia, utuokoe na janga hili la corona Wananchi wote tuwe wangalifu, ili tujikinge na virusi hivyo, ili na sisi tulinde maisha yetu x2 2. Tazama taifa lako wanavyoangamia, wakiona hali ya wapendwa wao 3. Ni wewe unayeweza kuyaponya magonjwa, tunakuomba uponye wagonjwa wote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa