Mtunzi: Sindani P. T. K
> Mfahamu Zaidi Sindani P. T. K
> Tazama Nyimbo nyingine za Sindani P. T. K
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 21,268 | Umetazamwa mara 31,275
Download Nota Download MidiJenga urafiki na mwokozi Yesu amana ya mbingu kurithishwa x2
Tembea na yeye upendavyo safari na yeye uwezavyo kula na yeye popote pale x2
1. Anza basi leo kuwa na yeye rafiki wa kweli katika mbingu usichelewe kuwa na yeye
2. Ni kinga kamili ukiwa naye kwa taabu zako popote pale anayajua maisha yako
3. Kwa magonjwa yako ndiye tabibu anajua yote magonjwa yako ongozana naye utapona
4. Jibu la maisha ukiwa naye, anapokuwapo hana mpinzani jipendekeze unufaike