Mtunzi: Julius Selestino Julius
> Mfahamu Zaidi Julius Selestino Julius
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Selestino Julius
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: Julius Selestino
Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 18
Download Nota Download MidiKaa tayari jiandae kusikiliza neno la Bwana , tulipokee tulitafakari siku zote , tulipokee tulitafakari kwaimani.
Mashaili
1) Neno la Bwana laja kwetu tu lipo kee natulishike
2) Neno la Bwana laja kwetu nitaaletu maishani
3) Neno la Bwana laja kwetu litubadili mwenendo wetu