Ingia / Jisajili

Jina La Yesu

Mtunzi: Cassian Ndize

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 988 | Umetazamwa mara 3,731

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Jina la Yesu, jina lake Yesu lisifiwe, litukuzwe liabudiwe milele yote x 2
Heshima adhama, heshima na adhama, vyote vi mbele zake, milele yote milele, milele yote x 2

  1. Nitatangaza jina la Yesu, milele yote milele yote.
     
  2. Lina ukuu lina uweza, nguvu utajiri vi ndani yake.
     
  3. Kwa hiyo ndugu, ungana name, tulisifu jina lake Yesu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa