Ingia / Jisajili

Jinsi Hii Mungu Aliupenda Ulimwengu

Mtunzi: Jonas Mutalemwa
> Mfahamu Zaidi Jonas Mutalemwa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Jonas Mutalemwa

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 16

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanae wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee (bali) awe na uzima wa milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa