Ingia / Jisajili

Jitajirisheni Kwa Mungu

Mtunzi: K. F. Manyenye
> Mfahamu Zaidi K. F. Manyenye
> Tazama Nyimbo nyingine za K. F. Manyenye

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Kiyaya F. Manyenye

Umepakuliwa mara 50 | Umetazamwa mara 129

Download Nota
Maneno ya wimbo
Jilindeni na Choyo maana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo.Jitajirisheni kwa Mungu sasa maana vitu vyema vingi mlivyojiwekea akiba ya nafsi zenu duniani vitakuwa vya nani baada ya kufa?

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa