Ingia / Jisajili

Jiwe Kubwa Kaburini

Mtunzi: Edmund C.sambaya
> Mfahamu Zaidi Edmund C.sambaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Edmund C.sambaya

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Edmund Sambaya

Umepakuliwa mara 1,103 | Umetazamwa mara 3,515

Download Nota
Maneno ya wimbo

KIITIKIO: Jiwe kubwa lililowekwa kaburini halipo tena(aleluya) malaika wake Mungu baba wamekwisha kulitoa x2 (aleluya) (aleluya tuimbe aleluya kwa furaha kaburini Bwana hayupo amefufuka)x2

MASHAIRI: 1.Asubuhi na mapema Maria makidalena, alikwenda kaburini nalo jiwe halipo, namo mle ndani mwili wa kwana haupo

                    2.Petro wanafunzi wake walienda mbiombio wakaenda mle ndani wakakuta zile sanda, nao ule mwili wa bwana Yesu haupo.

                    3. Maria Makidalena alilialia sana, nao wale Malaika wakaenda kumwambia, Bwana Yesu leo amekwisha kufufuka.

                    4. Maria Makidalena Alipogeuka Nyuma, akamwona Bwana Yesu Kasimama Nyuma yake walakini bado hakutambua ni Yesu

                    5.Bwana Yesu kamwambia mama Unalia nini, Mimi ndimi Yesu Kristu nenda kwao ndugu zako kawambie kuwa nimekwisha kufufuka

                    6. Nasi pia tufurahi kwa nderemo na vifijo, nayo makofi tupige Bwana Yesu kafufuka, nasi sote leo tumekwisha fufuliwa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa