Mtunzi: CHAMA HOKORORO
> Mfahamu Zaidi CHAMA HOKORORO
> Tazama Nyimbo nyingine za CHAMA HOKORORO
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Chama C. Hokororo
Umepakuliwa mara 29 | Umetazamwa mara 27
Download Nota Download MidiJiwekee hazina yako mmbinguni, ambako mwizi haibi nondo haharibu. Apandaye haba atavuna haba, apandaye kwa ukarimu atavuna mengi. Hima hima ndugu nenda ukatoe, mtolee Mungu wako ulichonacho