Mtunzi: A. H Gonzaga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: A.H Gonzaga
Umepakuliwa mara 40 | Umetazamwa mara 60
Download Nota
Download Midi
Maneno ya wimbo
Jilindeni nafsi zenu, jihadharini msitende mema ili muonekane, toa msaada wako kwa siri ubarikiwe. ee jiwekeeni ee hazina mbinguni, msiziweke duniani nondo na kutu waharibu hata wezi nao waje kuiba