Ingia / Jisajili

Jumuiya Ndogo Ndogo

Mtunzi: James Mnzava
> Tazama Nyimbo nyingine za James Mnzava

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: James Mnzava

Umepakuliwa mara 160 | Umetazamwa mara 258

Download Nota
Maneno ya wimbo
Jumuiya ndogo ndogo za kikatoliki, ni kitovu Cha uinjilishaji ndani ya kanisa x2 ; Ni uhai wa kanisa hivyo tuziimarishe, Tuishi pamoja tusali pamoja tutafakari neno la Mungu pamoja Kwa umoja. BETI. 1.Ni njia ambayo kanisa linaletwa chini kwenda katika mfumo wa maisha ya Kila siku yanayogusa waamini katika hali zote za furaha na majonzi. 2.Ni njia kwayo watu wanawezeshwa kutambua fumbo la Kristo aliye katikati yao anayeonekana kwao Kwa njia njia ya sura ya jirani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa