Ingia / Jisajili

Kaa Nasi Bwana

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 3,978 | Umetazamwa mara 10,780

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wanafunzi wawili wa Yesu (wa Yesu)
Walipokaribia Emaus (Emaus)

Yesu alifanya kama anataka kuendelea mbele, wakamshawishi, wakamshawishi wakisema:

Kaa pamoja nasi Bwana. (kaa),
Kaa pamoja nasi Bwana (kaa)
Kaa pamoja nasi Bwana kwa kuwa kumekuchwa na mchana umekwisha;

//:Akaingia ndani, akaingia ndani na kukaa nao, na kukaa nao://

//:(Nasi) Twende na Yesu aliyefufuka (maisha) maishani (mwote) tuishi naye Yesu, (wakristu):// Mwokozi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa