Mtunzi: Frt. Renatus Rwelamira Aj.
> Mfahamu Zaidi Frt. Renatus Rwelamira Aj.
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Renatus Rwelamira Aj.
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,617 | Umetazamwa mara 2,955
Download NotaKabla hujazaliwa, katika tumbo nalikujua kabla hujatoka tumboni nalikutakasa nalikutakasa x2.
1.Nimekuteuwa kuwa nabii wa mataifa basi jifunge viuno ukaondoke.
2.Kawafundishe yote niliyokuamuru maneno yote niliyokuamuru.
3.Watapigana nawe lakini utawashinda maana mimi nipo pamoja nawe asema Bwana.