Mtunzi: Dismas Mallya
> Tazama Nyimbo nyingine za Dismas Mallya
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 4
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Mkesha wa Pasaka
kama vile, Ayala aioneavyo aionevyo (shauku) mito ya maji, vivyo hivyo nayo nafsi yangu inakuonea shauku Ee Mungu x2
1. Nafsi yangu inamwonea kiu mungu aliyehai lini nitakavyokuja nionekane mbele ya Mungu
2. Machozi yangu yamekuwa chakula changu, mchana na usiku wanaponiambia mchana kutwa yuko wapi mungu wangu
3. Nayakumbuka haya nikiweka wazi nafsi yangu, jinsi nilivyokuwa nikenda na makutano na kuwaongoza nyumbani mwa Mungu kwa sauti ya furaha na kusifu mkutano wa siku kuu