Ingia / Jisajili

Kama Ayala

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Pasaka

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 3,060 | Umetazamwa mara 8,655

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

AUGUSTINE RUTTA

  MBEZI LOUIS

02 /7/2013

Kama ayala kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji ndivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu x2

1. Nafsi yangu inamwonea kiu Mungu wangu Mungu aliye hai lini utakapo kuja nionekane mbele za Mungu

2. Niletewe nuru yako na kweli yako Bwana ziniongoze zinifikishe kwenye mlima wako Mtakatifu


Maoni - Toa Maoni

Filbert kashamakula Mar 26, 2022
Hongera mwl nimekupenda lakin naomba nitungie wimbo wa kurekodi wa kutafakarisha maisha ya watu!kama ule wa maneno tu

Toa Maoni yako hapa