Mtunzi: Fr. Clement
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 29,368 | Umetazamwa mara 48,667
Download Nota Download MidiKama ayala aioneavyo kiu mito ya maji ndivyo ninavyokuonea kiu Mungu wangu x2
1. Ninatamani kushibishwa kwa mwili wako Bwana wangu, Ninatamani kuburudishwa kwa damu yako Mungu wangu
2. Umeniumba kwa ajili yako ndiyo maana sishibishwi, Utanituliza nafsi yangu Mungu wangu uliye hai
3. Karibu Bwana moyoni mwangu niishi kiekaristia ili nipate raha ya kweli nikupendeze siku zote