Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija
Makundi Nyimbo: Anthem | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 1,079 | Umetazamwa mara 3,167
Download Nota Download MidiKIITIKIO.
Kama Kristu alivyokufa akafufuka, vivyohivyo na hao walio lala katika Yesu Mungu ataweleta pamoja naye x2
MASHAIRI.
01. Kwakuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristu wote watahuishwa
02.Maana kwakuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu
03. Atukuzwe Mungu Babaatukuzwe Mungu mwana naye Roho mtakatifu kama mwanzo na sasa na milele amina