Mtunzi: Desderius Ladislaus
> Mfahamu Zaidi Desderius Ladislaus
> Tazama Nyimbo nyingine za Desderius Ladislaus
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka
Umepakiwa na: Desderius Ladislaus
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C
Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya akili yasiyoghushiwa x2
1. Ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu, Aleluya Aleluya
2. Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo