Ingia / Jisajili

KAMA WATOTO WACHANGA

Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka

Umepakiwa na: Daniel Denis

Umepakuliwa mara 154 | Umetazamwa mara 463

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus. Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa,yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa,ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu , ALELUYA 1.Ahimidiwe Mungu baba wa Bwana wetu Yesu Kristo,ambaye kwa rehema zake nyingi alituzaa mara ya pili ili tupate tumaini lenye uzima kwa kufufuka kwake Yesu Kristo katika wafu. 2.Ikiwa mmeonja kwamba Bwana ni mwenye fadhili, mmwendee yeye jiwe lililo hai , lililokataliwa na wanadamu, bali kwa Mungu niteule tena lenye heshima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa