Mtunzi: Dr. Alex Xavery Matofali
> Mfahamu Zaidi Dr. Alex Xavery Matofali
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Alex Xavery Matofali
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali
Umepakuliwa mara 677 | Umetazamwa mara 3,913
Download Nota Download MidiKamba za mauti zilinizunguka nalimwita Bwana akasikia, sauti yangu hekaluni mwake x2
Mashairi
1. Nakaliitia jina la Bwana, Ee Bwana ninakuomba, uniokoe nafsi yangu.
2. Kamba za maitu zilinizunguka, shida za kuzimu zilinipata naliona taabu na huzuni.