Ingia / Jisajili

Kanisa La Kitume

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 13,975 | Umetazamwa mara 24,104

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kanisa la kitume, kanisa la kitume kwa sababu Roho Mtakatifu aliwashukia 
(wale wote waliokuwapo wale wote waliokuwapo wakati wa Pentekoste wakatiwa Pentekoste ) x 2

  1. Asili ya Kanisa letu imetoka kwa mitume, na limeendelea kukua tangu wakati huo.

  2. Huu muungano na mitume unadokeza kwa kanisa kuwa mwaminifu kwa mafundisho yaliyofundishwa na Yesu na mitume kwetu sisi.

  3. Roho Mtakatifu ni mjumbe wa mitume na Kanisa, atakuwa kati yao kila wakati; ni mwalimu wa habari njema aliyoihubiri Yesu.

Maoni - Toa Maoni

Raimondi Chifuka May 02, 2021
hongera

winfrida malogo Dec 11, 2017
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Daniel mlamka Aug 28, 2016
Ni nzuri hakuna baya

May 06, 2016
Maneno ya ubeti wa pili ni "mafundisho yaliyofunuliwa na Yesu."

Toa Maoni yako hapa