Mtunzi: JIYENZE MARCO
> Mfahamu Zaidi JIYENZE MARCO
> Tazama Nyimbo nyingine za JIYENZE MARCO
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Bruno Muyinga
Umepakuliwa mara 27 | Umetazamwa mara 59
Download NotaKiitikio: Kanisa langu katoliki imani yangu iniongozayo ×2. Ninakupenda kanisa langu, Ninakupenda imani yangu, Kanisa langu (Kanisa) Katoliki