Ingia / Jisajili

Kanisa Latualika

Mtunzi: Josephat Sarwatt
> Mfahamu Zaidi Josephat Sarwatt
> Tazama Nyimbo nyingine za Josephat Sarwatt

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: Shanel Komba

Umepakuliwa mara 953 | Umetazamwa mara 3,566

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

JOSEPHAT SARWATT

MAY 2011

DODOMA

Kanisa latualika wakristo kuhubiri Injili,

Sote mapadre, watawa, walei nijukumu letu kuhubiri Injili X2

1.     Wazazi tuwalee watoto wetu, wachipuke katika miito mitakatifu.

2.     Mavuno ni mengi ni mengi sana, lakini watendakazi ni wachache.

3.     Tunaalikwa kwenye shamba la Bwana, tukaongeze watumishi, watumishi wake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa