Mtunzi: Marini Faustine
> Mfahamu Zaidi Marini Faustine
> Tazama Nyimbo nyingine za Marini Faustine
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 1,687 | Umetazamwa mara 3,636
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mtaweza kunena kwa lugha mbalimbali, mtakaposhukiwa na Roho mtakatifu x 2
Si kila mtu aweza kunena kwa lugha mbalimbali (bali) bali ni yeye yule aliyeshukiwa na Roho Mtakatifu x2
Mashairi:
1. Kunena kwa lugha ni karama kutoka kwa Roho, tusilazimishe kunena kwa lugha mbalimbali
2. Siku ya pentekoste mitume walishukiwa na Roho, ndipo wakaanza kunena kwa lugha mbalimbali