Mtunzi: Gaspar Mrema
> Mfahamu Zaidi Gaspar Mrema
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaspar Mrema
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: GASPER MREMA
Umepakuliwa mara 592 | Umetazamwa mara 3,303
Download Nota Download MidiKaramu Takatifu, Karamu ya Bwana Yesu, Karamu yenye uzima.
MASHAIRI
1. Ee Mkate mtakatifu, ni Mwili wake Bwana Yesu, chakula cha roho zetu.
2. Ee Damu takatifu, ni Damu yake Bwana Yesu, Kinywaji cha roho zetu.
3. Jongeeni tukampokee, kwa Ibada na uchaji, Jongeeni tukampokee.
4. Hakika ni Upendo mkuu, Kwa kujitoa kwetu sisi ukae nasi.