Ingia / Jisajili

Karamu Ya Bwana

Mtunzi: Aloyce Sagise
> Mfahamu Zaidi Aloyce Sagise
> Tazama Nyimbo nyingine za Aloyce Sagise

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Aloyce Sagise

Umepakuliwa mara 51 | Umetazamwa mara 126

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Alhamisi Kuu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Yesu atualika mezan, twendeni wote tukampokee. Tukale mwili wake, tukanywe famu yake tupate uzima milele. 1. Mwili wa Bwana yesu ni chakula cha uzima, twendeni wote tkampokee. 2. Damu ya Bwana Yesu ni kinywaji cha uzima, twendeni wote tkampokee. 3. Anayekula mwili na kuinywa damu yake, anaishi milele yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa