Ingia / Jisajili

Karamu Ya Bwana

Mtunzi: Gabriel cyprian
> Mfahamu Zaidi Gabriel cyprian
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel cyprian

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gabriel Kankan

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 68

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Ekaristia ndicho chakula kilichoshuka kutoka Mbinguni, Bwana wetu Yesu Kristo anakupenda katuandalia mwili na damuye. KIITIKIO Karamu ya Bwana imeandaliwa Mkristo twende tuijongee meza ya uzima. 2. Huu ndio mwili wa Bwana Yesu wenye nafsi tatu za Mwenyezi Mungu 3. Aulaye mwili na kuinywa damu, huyo ataishi na Yesu Milele 4. Ekaristia ndiyo mwili wa Yesu,wenye ufufuo na uzima mpya 5.Karamu ya Bwana Iko tayari,twende tushiriki kumpokea Yesu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa