Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Samwel Abado
Umepakuliwa mara 1,476 | Umetazamwa mara 4,780
Download Nota Download MidiKaramu yake Bwana i tayari twende sote tukampokee x2
(Twe--)Tukale mwili (--nde) tukanywe damu
Tumpokee mwokozi wetu (Twende tukale) atualika mezani pake
Tukale mwili tukanywe damu twende mezani (tukale mwili tukanywe damu twende mezani pake)
1. Ni Yesu mwenyewe katika maumbo ya mkate na divai
2. Anatualika njoni wote wenye mioyo safi
3. Ni chakula cha roho cha shibisha kinatupatia uzima