Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Steven Kiteve
Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 14
Download Nota Download MidiKaramu ya upendo na amani, imekwisha andaliwa. Bwana Yesu Kristo atualika, twende tukampokee. Mwili wake Bwana ni chakula kishibishashacho roho. Damu yake ni kinywaji kiburudishacho nafsi.