Mtunzi: J. Kijuu
> Tazama Nyimbo nyingine za J. Kijuu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 860 | Umetazamwa mara 3,374
Download Nota Download MidiKaramu ya upendo kutoka mbinguni yenye uzima wana heri wote wenye kujongea mezaz ya Bwana x2
1. Zinabubujika Baraka kutoka mbinguni kwa wote wenye kuongea meza ya Bwana
2. Zinamiminika neema kutoka mbingini kwa wote wenye kula na kunywa karamu yake.
3. Zinatiririka faraja kutoka mbinguni kwa wote wenye masumbuko mioyoni mwao.
4. Zinateremka neema kutoka mbinguni kwa wote wenye huruma naupendo kwa watu.
5. Zinamwagika furaha kutoka mbinguni kwa wote wenye upendo kwa wasiojiweza