Ingia / Jisajili

Karamu Ya Uzima

Mtunzi: Ernest Rioba Mwita
> Mfahamu Zaidi Ernest Rioba Mwita
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Rioba Mwita

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Ernest Mwita

Umepakuliwa mara 41 | Umetazamwa mara 98

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KARAMU YA UZIMA Hii ni karamu ya uzima ndani yetu atualika Bwana yetu tuijongee, Yumo Bwana yesu kwa mwili wake kweli pia Yumo ndani ya damu yake kweli. 1. Alisema bwana twaeni wote muleni mwili wangu mmh, alisema bwana twaeni wote mnywe pia na damu yangu mwili wangu na (damu ni uzima)×2 2. Nasi twasadiki ni mwili wake mwili na damu yake eeh, alituamuru kufanya hivyo kulingana na kifo chake, (mwili wake na damu ni uzima)×2 3. Kwa hii karamu twaiishiriki uzima was bwana wetu uuh, huu ni upendo alotwachia mkombozi bwana wetu Yesu, (mwili wake na damu ni uzima)×2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa