Ingia / Jisajili

Karamu Ya Uzima

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 73 | Umetazamwa mara 81

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Mwili wake Bwana Yesu chakula cha uzima, Damu yake Bwana Yesu kinywaji cha uzima, tule mwili wake, tunywe Damu yake, Mwili wake Damu yake Karamu ya uzima. MASHAIRI: 1.Tunaalikwa kushiriki mwili wa Yesu, ni chakula kinachoshuka toka mbinguni, tule mwili wake Yesu tupate uzima. 2.Tunaalikwa kushiriki Damu ya Yesu, ni kinywaji kinachoshuka toka mbinguni, tunywe Damu yake Yesu tupate uzima. 3.Tujongee mezani alimo Bwana Yesu, tule mwili wake Yesu kutoka mbinguni, tunywe Damu yake Yesu tupate uzima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa