Mtunzi: A. Robert
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 863 | Umetazamwa mara 2,790
Download Nota Download MidiKaribia mezania (ndugu) ule mwili wake (Bwana) unywe damu yake kwa uzima wa roho x2
1. Karamu isiyo na ubaguzi jonhea mbele
2. Jongea mbele nenda ukale mwili wake ushibishwe.
3. Jongea mbele nenda ukanywe damu yake utulizwe.
4. Ni Bwana Yesu katika umbo la mkate umpokee.