Ingia / Jisajili

Karibu Bwana

Mtunzi: Sumbizi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 399 | Umetazamwa mara 2,310

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Karibu Yesu nakukaribisha siku ya leo, karibu Yesu nakukaribisha moyoni mwangu x 2.

  1. Nakuhitaji Ee Bwana, moyoni mwangu, karibu Yesu nakukaribisha moyoni mwangu.
  2. Unipe uzima wako, moyoni mwangu, karibu Yesu nakukaribisha moyoni mwangu.
  3. Unipe mapendo yako, moyoni mwangu, karibu Yesu nakukaribisha moyoni mwangu.
  4. Nipe tumaini lako, moyoni mwangu, karibu Yesu nakukaribisha moyoni mwangu.
  5. Karibu siku ya leo, moyoni mwangu, karibu Yesu nakukaribisha moyoni mwangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa