Ingia / Jisajili

KARIBU MOYONI MWANGU

Mtunzi: I. Damballa
> Mfahamu Zaidi I. Damballa
> Tazama Nyimbo nyingine za I. Damballa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: isaiah Damballa

Umepakuliwa mara 181 | Umetazamwa mara 1,051

Download Nota
Maneno ya wimbo
1.) Sistahili Bwana wangu, uingie kwangu; njoo moyoni mwangu uniokoe. Refrain:- Karibu moyoni mwangu Yesu wangu, Chakula chenye uzima. Karibu moyoni mwangu Yesu wangu, Kinywaji chenye uzima. Ndiwe faraja yao wanyonge, (Wenye kukutumaini hawatapotea.) x2 2.) Japo mimi mkosefu, dhambi zimenisonga; njoo moyoni mwangu uniokoe. 3.) Mwili na damu ya kristu, chakula cha uzima; njoo moyoni mwangu uniokoe. 4.) Ndiwe njia ya uzima, u mwanga wa neema, njoo moyoni mwangu uniokoe. 5.) Aulaye mwili wako, na kunywa damu yako; anaishi ndani yako milele yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa