Ingia / Jisajili

Karibu Moyoni Mwangu

Mtunzi: Marko C. Ngoti
> Mfahamu Zaidi Marko C. Ngoti
> Tazama Nyimbo nyingine za Marko C. Ngoti

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: JOEL MASHAURI

Umepakuliwa mara 37 | Umetazamwa mara 91

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Maneno ya Wimbo Karibu Yesu mwema moyoni mwangu(Yesu), uje unilishe kwa mwili wako na kuninywesha kwa damu yako 1.Ndiwe chakula kutoka Mbiguni, utushibishe kwa chakula chako. 2.Ndiwe kinywaji kutoka mbinguni, na utunyweshe kinywaji cha roho. 3.Ndiwe chakula cha wasafiri, tulishe Bwana, kwa chakula chako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa