Ingia / Jisajili

Karibu Sana

Mtunzi: Mrs. C. H. Morris

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 650 | Umetazamwa mara 4,432

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Karibu sana univute karibu sana daima niwe, Bwana napenda unishike (unilinde nisitengwe nawe) x 2
     
  2. Karibu sana sina kitu, sina sadaka kwa bwana Yesu, isipokuwa moyo wangu (Uutakase tatika damu) x 2
     
  3. Karibu sana wewe nami, ninafurahi kuacha dhambi anasa zote na kaburi (nipe Yesu niliye msulubi) x 2
     
  4. Karibu sana hata mwisho , hata mbinguni nisimamapo daima dawamu niwepo (Nitakapoona uso wako) x 2

Maoni - Toa Maoni

reuben baya Jun 03, 2016
Nafurahia nyimbo hizu za kumsifu Mungu.

Toa Maoni yako hapa