Ingia / Jisajili

Karibu Wapendwa

Mtunzi: Sindani P. T. K
> Mfahamu Zaidi Sindani P. T. K
> Tazama Nyimbo nyingine za Sindani P. T. K

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: respiqusi mutashambala

Umepakuliwa mara 834 | Umetazamwa mara 3,805

Download Nota
Maneno ya wimbo

Karibuni wapendwa Bwana tujongee meza ya Bwana x2

Mwaliko sadi wateule Bwana Yesu ameshaandaa mwili x2

1.       Mwili wake chakula kweli damu yake kinywaji kweli Bwana ameshatuandandalia tulionawa sasa karibuni tupate shibe shibe kamili na uzima wetu

2.       Kwani ni kuchelewachelewa wakujongea meza ya Bwana mashule gani yanatusibu wakati Bwana ametualika uzima wetu sasa tayari hima tujongee

3.       Kama bado hujanawa ni vigumu kula chakula alichoandaa Bwana Yesu maji safi yapo tukanawe ili tushiriki meza yake kwa uzima wetu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa