Ingia / Jisajili

Karibu Yesu

Mtunzi: Daniel E. Kashatila
> Mfahamu Zaidi Daniel E. Kashatila
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel E. Kashatila

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Daniel Kashatila

Umepakuliwa mara 28 | Umetazamwa mara 43

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Karibu Yesu moyoni mwangu, ukae nami daima milele x2 1.mwili wako Bwana chakula Cha roho, Njoo ndani yangu unishibishe 2.Damu Yako Bwana kinywaji Cha roho,Njoo ndani yangu niburudishe. 3. Naamini kwamba Kwako nitapata ,tulizo la roho na heri ya mbingu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa