Ingia / Jisajili

Karibu Yesu Wangu

Mtunzi: Kelvin Pascal Chambulila
> Mfahamu Zaidi Kelvin Pascal Chambulila
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Pascal Chambulila

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: KELVIN CHAMBULILA

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 10

Download Nota
Maneno ya wimbo
Karibu Yesu wangu karibu moyoni mwangu ukae nami mpaka mwisho wa dahari x2 Kaa ndani yangu Bwana nipate uzima wa milele x2 1.kaa nami Bwana nishibishe mwili na roho ili nipate kustahiishwa mbinguni. 2. Mwili wako Yesu ni chakula cha roho, unishibishe nipate uzima. 3. Damu yako Yesu ni kinywaji cha roho, uninyweshe Bwana nipate uzima.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa