Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 623 | Umetazamwa mara 3,024
Download Nota Download MidiKaribuni karibuni karibuni karibuni kwa chakula chake Bwana Yesu atuita tukale chakula tukanywe kinywaji tukapate uzima wa roho x2
1. Tunapokula chakula tunywapo damu ya Yesu tunatangaza kifo na ufufuko
2. Nipe mwili wako Yesu nipe ninywe damu yako nikaishi milele nisipate kuga
3. Ana heri Yule mtu ampokeaye Bwana ataishi milele asema Bwana