Mtunzi: I. Kibara
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 616 | Umetazamwa mara 2,655
Download Nota Download MidiKaribuni kwa karamu yake Bwana (Yesu) jongeeni kwake Bwana tumpokee
1. Ni bahati gani ndugu tumepewa/ kula mwili pia kunywa damu yake.
2. Tujongee kwa furaha mbele yake/ tumpokee Bwana wetu Yesu Kristu.
3. Siku zote ewe Yesu utulishe/ Chakula hiki kutoka uwinguni.
4. Kaa nasi siku zote ewe Yesu/ wewe ndiwe tumaini la milele.
5. Sifa iwe kwake Baba pia Mwana/ naye roho Mtakatifu Amina