Mtunzi: Ernestus Ogeda
> Mfahamu Zaidi Ernestus Ogeda
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernestus Ogeda
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 2,901 | Umetazamwa mara 6,258
Download NotaKaribuni karibuni mezani kwa Bwana tule mwili wake pia tunywe damu yake ili tuwe na uzima wa milele x2
1. Meza ya Bwana ni meza ya upendo karibuni twende tushiriki
2. Meza ya Bwana ni meza ya amani karibuni karibuni twende tushiriki
3. Meza ya Bwana ni meza ya furaha karibuni karibuni twende tushiriki