Mtunzi: J. B. Manota
> Mfahamu Zaidi J. B. Manota
> Tazama Nyimbo nyingine za J. B. Manota
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alpha J.B Manota
Umepakuliwa mara 1,557 | Umetazamwa mara 5,463
Download Nota Download MidiKaribuni mezani tukale mwili wa Yesu anatualika wateule
Mwili na damu yake ni chakula cha uzima tunashiriki bila gharama
(Tujongee kwa furaha tukale mwili na damu yake tutapata uzima wa milele) x2
1. Mwili wa Yesu ni chakula chakula cha roho zetu
(Tushiriki kwa unyenyekevu wale tuliojiandaa) x 2
2. Damu ya Yesu ni kinywaji kinywaji cha roho zetu
(Tushiriki kwa…) x2
3. Tule mwili na damu yake tutapata uzima
(Tushiriki kwa…) x2
4. Enyi wateule wa Bwana tujongeeni mezani
(Tushiriki kwa…)x2