Ingia / Jisajili

Karibuni Mezani Kwa Bwana

Mtunzi: Eddy Charles

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 483 | Umetazamwa mara 2,039

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Karibuni  mezani kwa Bwana karibuni kwenye karamu ya Bwana x2

Tule mwili wake tunywe damu yake Bwana Yesu atualika twendeni x2

1.       Yupo hapa Altareni atualika wenye moyo safi

2.       Ni chakula chenye uzima karibuni nyote wenye moyo safi

3.       Aulaye mwili wa Bwana anao uzima wa milele yote


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa