Mtunzi: John Sebeya
> Mfahamu Zaidi John Sebeya
> Tazama Nyimbo nyingine za John Sebeya
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: JOHN SEBEYA
Umepakuliwa mara 358 | Umetazamwa mara 1,740
Download Nota Download MidiKARIBU
Karibuni , Karibuni Wakristu wo - te :// Karibuni , karibuni chakula cha Bwana//x 2
1. (a) Enyi wateule wa Bwana , Mlioandaliwa
(b) kujongea meza yake , sasa iko tayari , karibuni karibuni chakula cha Bwana
2 (a) Tule mwili na damu yake , Bwana ameandaa
(b) Pendo lake kuu kwetu , kwetu amelitoa , karibuni karibuni chakula cha Bwana.
3. (a) Bwana Yesu alisema , kuleni mwili wangu,
(b) kunyweni na damu yangu , kwa ukumbusho wangu, karibuni karibuni chakula cha Bwana.