Mtunzi: Venant Mabula
> Mfahamu Zaidi Venant Mabula
> Tazama Nyimbo nyingine za Venant Mabula
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 2,449 | Umetazamwa mara 6,405
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Katika ekaristi katika ekaristi,(namwona Yesu nampokea,japo afichika moyoni namkiri.x2)
MASHAIRI
1. Upendo mwingi na nguvu nyingi,kwa yesu wangu napata hima,niheri yangu kumpenda.
2.Furaha kubwa, amani tele pia tulizo napata kwake,Niheri yangu kumpokea.
3. Agano hili nilazamani,fahari yake ni ya vizazi,na neno lake la mile-le.
4. Twendeni wote,kwenye karamu,yenye faraja na wema mwingi,karamu ya wema wa neno wa Mungu.